Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
ISHU ya kocha mkuu mpya wa kudumu huko Arsenal inazidi kunoga. Majina kibao yamekuwa yakitajwa tangu alipofutwa kazi Unai Emery na sasa Max Allegri anadaiwa kwamba ndiye anayeongoza kwenye kinyang'anyiro hicho cha kuchukua mikoba ya kuinoa The Gunners.