Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 62,068
- 127,679
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huyo jirani mimi kabisa, huwa sikaribishwi mara mbili na hata mimi nikikaribishwa sisubiri mara ya pili na huwa nakwazwa sana na mtu ambae unamwambia nimeshiba anaendelea kung'ang'aniza
[emoji23][emoji23] kweli jembe tumepataKhaa
Hehhee!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Namwelewa sana huyo Mdada basi Tu bro
Geography is a destination
Mzee anamipasho huyu jamani[emoji51][emoji51][emoji51][emoji51]
Ongeza volume hawajasikiaMtekaji wa Davet na Yegomasika
HahahahahhaaaOngeza volume hawajasikia
#achia nywilaaaa
Heh!!Hahahahahhaaa
Halafu nina mafuraha
Orijino fool kafutiwa account natamani iwe jumla
Original east aka mange??[emoji849][emoji849]Hahahahahhaaa
Halafu nina mafuraha
Orijino fool kafutiwa account natamani iwe jumla
Chakula gani eti jirani??Mchana wa kupata chakula..
Siku ya ukimwi duniani
1/12/2019
Haya amkeniii amkeniiii amkeniiiii[emoji351][emoji351][emoji351][emoji351]
Wale wazee wa kupenda nyama kwa nyama[emoji23][emoji23]
Inasikitisha: memba mwenzetu wa MMU ajinyonga baada ya kukutwa na UKIMWI na aacha ujumbe mzito.
Gaspar Joel Njavike mwenye umri wa miaka 29 mkazi wa Magomeni jijini Dar es Salaam ambaye alikuwa memba wa MMU amekutwa amejinyonga ndani kwake leo mida ya saa kumi na moja asubuhi na kuacha ujumbe mzito kwenye mfuko wake wa shati. Gaspar ambaye alikuwa rafiki yangu wa karibu kwani tunafanya...www.jamiiforums.com