cocochanel
Platinum Member
- Oct 6, 2007
- 29,011
- 79,226
Mark kalale sasa.Mungu awafunike kwa upendo wake mkuu usiku huu wa leo na awalinde dhidi ya hila za yule mwovu.
Nipo baby. Kuna ishu moja inasumbua akili yangu balaa. I am sure you know what I am talking about. Ila uzi huu ndo kimbilio langu mojawapo la faraja. Vinginevyo ningekuwa nimeshachanganyikiwa !Sijui hata yuko wapi huyu shimba
Shimba kazi yake kubwa ni kuhakikisha bebi wake ana furaha. Na nyimbo hizi ni ushahidi tosha. Mgonjwa wetu wa Malaria anaendeleaje?Naona unamwita SHIMBA YA BUYENZE
Kila la heri. Panapo majaaliwaMungu akapate kutuepusha na yale yote mabaya.Amen.Usiku mwema wakuu,tusameheane tulipo kwazana.
Asante shemeji. Nifikishie salamu zangu kwa sis...Mkuu shimba ya buyenze,usiku mwema
Brilliant and true !
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
Life is so overrated!FORMULATE YOUR OWN GOLD MAKING FORMULA TO ARCHIVE WAT YOU DESIRE IN LIFE...!!
Nitafsirie plz
Life is so overrated!
"Don't be vague in yur goals...!!"Nitafsirie plz