Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Akilinganishwa na adui wa ndani, adui wa nje hana madhara!Mkuu cjaelewaa
Akilinganishwa na adui wa ndani, adui wa nje hana madhara!Mkuu cjaelewaa
Pole kamanda. Carpa mwambie akupe na supu ya kuku au broth. It does wonders kwenye malaria japo tiba halisi inajulikana.Wakuu Asanteni kwa kujali kwenu kiukweli nimefarijika na kupata nguvu, Mungu awabariki. Shukrani zaidi ziende kwa kipenz changu zepine bint ambae kwa sasa ananipepea na kunibusu paji langu la uso huku akisema gudnight my love get well soon namjibu I love you more zepine..
Polee Babe.. i know my shimba, Mungu wetu atakufanyia wepesi katika kila jambo lililo zito hunNipo baby. Kuna ishu moja inasumbua akili yangu balaa. I am sure you know what I am talking about. Ila uzi huu ndo kimbilio langu mojawapo la faraja. Vinginevyo ningekuwa nimeshachanganyikiwa !
Mkuu cjaelewaa
You are a jiniazi. Keep it up!Nimepata supp!! Tano kati YA sita
Inategemea. Kwa wazoefu ni lazima...Mapenzi na Shule ni hatari....
This is too harsh bro !Most people do not invest in themselves for the excuse of not having time.....!! No one will remember you even for two hours after your death
Whether they know or not it is moot. You are dead!Who will know after 30 year's that you lived on earth..??
Kamkande huyo mgonjwa wa malaria apone. Good night Carpa!Ilikua siku njema kuwa nanyi hapa leo...kamuda ka kulala kamewadia leo zamu ya majorani kukesha...naomba niwatakie usiku mwema wote mbarikiwe
This is too harsh bro !
Mpaka siku ukidakwa!Mke wa mtu mtamu
Likes nawe utoeNipeni like Basi na Mimi kah!
Zote gheresha za binafamu tu. Ukishakufa umeshakufa ukumbukwe usikumbukwe ni bure [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Most people will leave the universe without a trace, no one will know they were on eath, And so their will be put in the list of " NOT USED UP.."
Whether they know or not it is moot. You are dead!
Akili na ujinga vinakamilishana. Go figure!Moja ya Ujinga wa wana JF.
Pesa pesa pesa helaaaaa....