D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,665
- 121,102
Anaongea utafikiri Ngosha wa Sapiwi dah [emoji16][emoji16][emoji16][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51]
Aisee[emoji23]Endelea kuzihesabu.
Utahesabu Hadi kizunguzungu kikukamate...ni Kama unahesabu nyota angani.
Hesabu sana[emoji23][emoji23][emoji23]
This is livapuu[emoji91][emoji91]
Kanyerere kalikuwa kajanja sana [emoji16][emoji16][emoji16]Baada ya kufuzu hayo yenye kuitwa 'mapinduzi' ya Januari 12, 1964, Katibu Mkuu wa AfroShirazi, Sheikh Thabit Kombo alisema wakati akikhutubia mkutano wa hadhara mbele ya Makao Makuu ya AfroShirazi, hapo Mapipa ya Ngozi, Kisiwandui:
"Tunamshukuru Mwalimu Nyerere kwa kutuvua mtego waliyotaka kutunasa Mahizbu wakati wa mkutano wa mwanzo wa Katiba, huko Uingereza. Mahizbu walitaka kutufanyia ujanja wa kutaka tuungane pamoja katika kuendesha serikali na kwa kutaka kutimiza ujanja wao, walikiri kutupa wizara tatu katika serikali yao. Lakini mzee Karume kabla ya kusema lolote, alizungumza na Mwalimu kwa simu kumtaka shauri yake juu ya jambo hilo. Mwalimu alimwambia mzee Karume asikubali kufuata shauri hiyo ya Hizbu kwani huo ni ujanja tu wakutaka kusiwepo na upinzani. Mkitaka shauri yangu kataeni. Ndipo mzee alipokataa", alisema Thabit Kombo.
jamaa alikuwa ni zaidi ya geniusKanyerere kalikuwa kajanja sana [emoji16][emoji16][emoji16]
Hiki Kinyakyusa ni habari nyingine aisee. Mi nimeshakijulia siku hizi. Kikiwasha moto mi nazima data [emoji16][emoji16][emoji16]Aisee[emoji23]
Vipi huko? Urojo unaendeleaje?jamaa alikuwa ni zaidi ya genius
stori za HIV ndio lugha ya mjini kwa sasa..............Vipi huko? Urojo unaendeleaje?
Hizi nyuzi nmezifatilia,mbona ni brah brah tu,nafikilia walikuwa wamelenga kukumbusha kuwa Ukimwi upo na tarehe ya maadhimisho ni leoTetesi : Aliyejinyonga ni Chizi Maarifa. Wengi watamfuata
Kuna jamaa humu toka juzi nadhani anadai kaambukizwa na member mmoja humu humu. Chizi marifa. Leo imetangazwa member mwenzetu kajinyonga baada ya kujikuta ana Umeme. Wengi wanasema ndo chizi marifa. Hebu fuatilieni jambo hili wadau...www.jamiiforums.com
[emoji16][emoji16][emoji16] huyu ni hatari tupu, @mzeewaliver na moudgulf hapa wanasubiri sanaHiki Kinyakyusa ni habari nyingine aisee. Mi nimeshakijulia siku hizi. Kikiwasha moto mi nazima data [emoji16][emoji16][emoji16]
Ubaharia una gharama [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Tetesi : Aliyejinyonga ni Chizi Maarifa. Wengi watamfuata
Kuna jamaa humu toka juzi nadhani anadai kaambukizwa na member mmoja humu humu. Chizi marifa. Leo imetangazwa member mwenzetu kajinyonga baada ya kujikuta ana Umeme. Wengi wanasema ndo chizi marifa. Hebu fuatilieni jambo hili wadau...www.jamiiforums.com