Shimba ya Buyenze JF-Expert Member Joined Dec 22, 2014 Posts 183,580 Reaction score 1,105,911 Jul 6, 2017 #106,861 Naye akaishia kubondwa na Buster Douglas kule Tokyo
Shimba ya Buyenze JF-Expert Member Joined Dec 22, 2014 Posts 183,580 Reaction score 1,105,911 Jul 6, 2017 #106,862 Ilikuwa mara yake ya kwanza kupigwa kwa knockout!
Shimba ya Buyenze JF-Expert Member Joined Dec 22, 2014 Posts 183,580 Reaction score 1,105,911 Jul 6, 2017 #106,863 Baadaye akabondwa tena na Evander Hollyfield mara mbili
Shimba ya Buyenze JF-Expert Member Joined Dec 22, 2014 Posts 183,580 Reaction score 1,105,911 Jul 6, 2017 #106,864 Mara ya pili alipozidiwa alimuuma sikio Evander Hollydield na pambano likakatishwa.
Shimba ya Buyenze JF-Expert Member Joined Dec 22, 2014 Posts 183,580 Reaction score 1,105,911 Jul 6, 2017 #106,865 Lennox Lewis alikuja kummalizia Mike Tyson kwa knockout ya raundi ya saba.
Shimba ya Buyenze JF-Expert Member Joined Dec 22, 2014 Posts 183,580 Reaction score 1,105,911 Jul 6, 2017 #106,866 Baada ya kutapanya mali zake karibu zote, leo hii Mike Tyson amefanikiwa kuyabadilisha maisha yake na ameonekana mara nyingikatika shoo mbalombali.
Baada ya kutapanya mali zake karibu zote, leo hii Mike Tyson amefanikiwa kuyabadilisha maisha yake na ameonekana mara nyingikatika shoo mbalombali.
Shimba ya Buyenze JF-Expert Member Joined Dec 22, 2014 Posts 183,580 Reaction score 1,105,911 Jul 6, 2017 #106,867 Kumbuka kuwa hata ukiwa na nguvu kiasi gani daima kuna mtu ambaye ana nguvu kukuzidi. Na kama ni kubondwa utabondwa tu!
Kumbuka kuwa hata ukiwa na nguvu kiasi gani daima kuna mtu ambaye ana nguvu kukuzidi. Na kama ni kubondwa utabondwa tu!
Shimba ya Buyenze JF-Expert Member Joined Dec 22, 2014 Posts 183,580 Reaction score 1,105,911 Jul 6, 2017 #106,868 Moral of the story is: BE HUMBLE !!!
myoyambendi JF-Expert Member Joined Sep 13, 2013 Posts 174,811 Reaction score 721,144 Jul 7, 2017 #106,869 Ijumaa ya ,7'7
myoyambendi JF-Expert Member Joined Sep 13, 2013 Posts 174,811 Reaction score 721,144 Jul 7, 2017 #106,870 Nawatakia wooote ijumaa njema
myoyambendi JF-Expert Member Joined Sep 13, 2013 Posts 174,811 Reaction score 721,144 Jul 7, 2017 #106,871 Mungu utupe mkate wetu...
myoyambendi JF-Expert Member Joined Sep 13, 2013 Posts 174,811 Reaction score 721,144 Jul 7, 2017 #106,872 Mungu utujaalie hekima
myoyambendi JF-Expert Member Joined Sep 13, 2013 Posts 174,811 Reaction score 721,144 Jul 7, 2017 #106,873 Mungu utujaalie afya..
myoyambendi JF-Expert Member Joined Sep 13, 2013 Posts 174,811 Reaction score 721,144 Jul 7, 2017 #106,874 Mungu utukutanishe Jf na wapendwa wetu tukiwa na afya na furaha
ISIS JF-Expert Member Joined Apr 20, 2016 Posts 96,072 Reaction score 858,588 Jul 7, 2017 #106,875 UNIVERSE TAKE CONTROL
ISIS JF-Expert Member Joined Apr 20, 2016 Posts 96,072 Reaction score 858,588 Jul 7, 2017 #106,876 myoyambendi said: Mungu utukutanishe Jf na wapendwa wetu tukiwa na afya na furaha Click to expand... AMUN RA
myoyambendi said: Mungu utukutanishe Jf na wapendwa wetu tukiwa na afya na furaha Click to expand... AMUN RA
myoyambendi JF-Expert Member Joined Sep 13, 2013 Posts 174,811 Reaction score 721,144 Jul 7, 2017 #106,877 Tujaalie amani..kwetu na nchi yetu
ISIS JF-Expert Member Joined Apr 20, 2016 Posts 96,072 Reaction score 858,588 Jul 7, 2017 #106,878 myoyambendi said: Mungu utujaalie afya.. Click to expand... AMUN RA
myoyambendi JF-Expert Member Joined Sep 13, 2013 Posts 174,811 Reaction score 721,144 Jul 7, 2017 #106,879 Tuongeza kutenda yaliyo mema. Na kupendana
ISIS JF-Expert Member Joined Apr 20, 2016 Posts 96,072 Reaction score 858,588 Jul 7, 2017 #106,880 myoyambendi said: Ijumaa ya ,7'7 Click to expand... Indeed 772017 the power of number 7