Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Sasa hako kajani kwenye ugali kana faida gani? Mbwembwe za wapishi bwana [emoji16][emoji16][emoji16]
Sasa hako kajani kwenye ugali kana faida gani? Mbwembwe za wapishi bwana [emoji16][emoji16][emoji16]
Jamani mi nilishakataa kuitwa bro. Nina dada mmoja tu hapa. Pulizi tusikwazane. Hizo brozone na friendzones mnazotaka kuniweka sitakiiiii [emoji351][emoji351][emoji351] [emoji16][emoji16][emoji16]SHIMBA YA BUYENZE bro [emoji870]
Ka giligilani kana nuka hatar[emoji23][emoji23][emoji23]Sasa hako kajani kwenye ugali kana faida gani? Mbwembwe za wapishi bwana [emoji16][emoji16][emoji16]
Kananukia....oooh sikujua....Ka giligilani kana nuka hatar[emoji23][emoji23][emoji23]
Hapana ni kunuka mm kwangu harufu ya giligilani mbichi ni kali na mbayaKananukia....oooh sikujua....
[emoji23][emoji23][emoji23]Tahadhari hiyo jamani [emoji3]View attachment 1279227
Nimekomba wapi jamani?[emoji3]uncle unapenda sana kukomba mboga.
Huyu mtoto amekuwa mtukutu sana siku hiziNumbisa ban tena? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji137][emoji137]carbamazepine [emoji870]
😂😂😂😂😂😂😂🏃🏃Jamani mi nilishakataa kuitwa bro. Nina dada mmoja tu hapa. Pulizi tusikwazane. Hizo brozone na friendzones mnazotaka kuniweka sitakiiiii [emoji351][emoji351][emoji351] [emoji16][emoji16][emoji16]
Jamani mi nilishakataa kuitwa bro. Nina dada mmoja tu hapa. Pulizi tusikwazane. Hizo brozone na friendzones mnazotaka kuniweka sitakiiiii [emoji351][emoji351][emoji351] [emoji16][emoji16][emoji16]
Kuna watu wanajua kugiftisha 😂😂[emoji137][emoji137]
#nijesaidiakufunguazawadi?
Nimekuelewa kabisa 100%. Mshamba wa Koromije mimi hata sijui hiyo giligilani inanukiaje/inanukaje....Hapana ni kunuka mm kwangu harufu ya giligilani mbichi ni kali na mbaya
Ila nahisi kwako inanukia
Yan ni bampa tu bampa....😂Huyu mtoto amekuwa mtukutu sana siku hizi
Ushawai kula mayai yaliokuwa mixed na giligilani?Nimekuelewa kabisa 100%. Mshamba wa Koromije mimi hata sijui hiyo giligilani inanukiaje/inanukaje....
Wajanja sana hawa brother. Ukizubaa utajikuta unaitwa bro na kila mlimbwende humu...na kujinasua kutoka kwenye huo ubro utateseka sana [emoji16][emoji16][emoji16][emoji3][emoji3]
Giligilani huku Koromije hakuna sasa nitailia wapi? Hiyo miksicha ni nzuri?Ushawai kula mayai yaliokuwa mixed na giligilani?
Fujo isiyoumiza 😂😂😂Wewe Mtoto[emoji7][emoji7][emoji39][emoji39][emoji1786]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jamani mi nilishakataa kuitwa bro. Nina dada mmoja tu hapa. Pulizi tusikwazane. Hizo brozone na friendzones mnazotaka kuniweka sitakiiiii [emoji351][emoji351][emoji351] [emoji16][emoji16][emoji16]