D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,665
- 121,102
bora ashinde man city?Wote walala hoi..wote wapinzani wetu.
Ila man utd sio timu kabisa.
Hongera kwake ila aongeze hajui kua tuna msemo ya kila mwanakele na rizki yakeanaogopa maisha.............
hajafikisha hata watoto watano
maisha ya bara yamesha muathiriHongera kwake ila aongeze hajui kua tuna msemo ya kila mwanakele na rizki yake
Atashinda huyobora ashinde man city?
sikuwezi.Atashinda huyo
Maana man utd Ni watalii wa uwanjani.
Ila sishabikii timu yoyote hapo.sikuwezi.
usiku mwema mpendwa
Nyumbani sharti wake wa 3 huku muoaji ndo kwaaanza mbichi miaka 26 tu[emoji23][emoji23][emoji119]maisha ya bara yamesha muathiri
huku nyumbani kufyatui ni muhimu
nakwambia mpaka mwanamme anasingizia ugonjwaNyumbani sharti wake wa 3 huku muoaji ndo kwaaanza mbichi miaka 26 tu[emoji23][emoji23][emoji119]
jamani mimi ni mgonjwaaaaaaNyumbani sharti wake wa 3 huku muoaji ndo kwaaanza mbichi miaka 26 tu[emoji23][emoji23][emoji119]
Wengi wanona ufahari miaka23 ana wa2 akiulizwa eri nataka watt wengi nikifa niache alama nisisahaulikejamani mimi ni mgonjwaaaaaa
wake watatu watanizidisha vidonda vya tumbo
talaka ndio zimezidi......Wengi wanona ufahari miaka23 ana wa2 akiulizwa eri nataka watt wengi nikifa niache alama nisisahaulike
Mungu tubarikie watu wa pwani
Nakumbuka mtu alioa mahari alilipa $1200talaka ndio zimezidi......
sherehe kubwa za harusi lakini ndoa hazidumu