moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Huu UZI umefikisha Replies 1M na Views Mil 13. Safi sana.
Hivi Mlio SINGLE kama sahivi mnafanya nini?
tulia weweeeeeee
huyo ndiye simbaaaa mwenda pole
swadaktaPoleni.
Adui yenu yu miongoni mwenu ingawa hasira mnawapelekea wengine
Naona Wapemba weshamgeuka rais wao wa mioyo utafikiri wote hawajahamia ACT kwa tapeli wa Kigoma kumfuata [emoji16][emoji16][emoji16]
Kesho anarudi nyumbani ...
Nitampelekea vitabu vyake PM [emoji16][emoji16][emoji16]masikini binti amekimbia baada ya jasusi kuu kukataa kuitwa buradhaaaa
hope atarudi kuchukua vitabu ulivyo muahidi
Siyo bure, kuna neno zito.
Tutege sikio
Siyo bure, kuna neno zito.
Tutege sikio
ofisi ya waziri mkuu wametoa tangazo la mkutano wa sumaye................Kesho anarudi nyumbani ...
Mianasiasa [emoji16][emoji16][emoji16]
wamakunduchi je?
Hehe sjui hua wanasema naomba ile kitu jirani na buno[emoji23] umefanya nimiss watu wa paje wanavyoongeawamakunduchi je?
Mm kapole tu jamanJizazi !!!
Kumbe na wewe mkorofi eeh!?