Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

FB_IMG_1562210132841.jpeg
 
humu ndani ana dada mmoja tu wa kutengeneza ambaye ni Kgothalo
ukimwita brother unampunguzia baraka za kutoka na under 18
NaddySL Usimsikilize huyu Mpemba mwenye maneno mengi...japo kiukweli huwa sipendi kuitwa bro na mabinti kwa sababu huo ndiyo mwanzo wa kutiwa kwenye ubrozone au ufriendzone permanently. Ila unaweza kuniita tu ukitaka...[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
masikini binti amekimbia baada ya jasusi kuu kukataa kuitwa buradhaaaa
hope atarudi kuchukua vitabu ulivyo muahidi
 
Mbona mnamkabali sana huko?
Huyu mzee nilimtilia shaka muda mrefu ila huwa siwaelewi wazanzibar na imani yao dhidi yake
ndiye mwanadamu pekee visiwani zenji mwenye uhakika wa kulala, kula, kutembea popote akiwa huru nafsini na kifikra.
bahati aliyojaaliwa nayo mzee yule ni kama mwalimu nyerere na watanganyika
 
Back
Top Bottom