Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

2fa38df2-9d5d-495f-a50e-d002c44cf527.jpeg
 
Bro kwema hii Move vipi hii
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huku kwema bro. Hawa sometimes ni kuwachokoza tu halafu unakaa pembeni unasikilizia muziki. Inaitwaga kutesti zali [emoji16][emoji16][emoji16]
 
babu shimba kwa hizi picha unazotuwekea ni bora uturudishie viuno vyetu tulivyo vizoea.

kinyume chake nitatembeza dislike kwa kila picha mbaya 😀 😀 😀
Hawa ni mamodo kutoka Sudan ya Kusini. Ndiyo wanatamba kwa sasa na wanatingisha dunia. Kuna mvuvumko mkubwa wa watu kukubali uasili wao bila kubanwa na vigezo vya ulimbwende vilivyowekwa na wazungu. Watu wajitambue. Wajithamini. Kwamba kuwa mlimbwende siyo lazima uwe mweupe. Waache kujichubua....

Wewe tembeza tu dislike ukipenda ila habari ndiyo hiyo [emoji36][emoji36]
 
Back
Top Bottom