Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bahati nzuri fundi wangu Hana longolongo.
Nikimpelekea nguo Leo namlipa kabisa..akikwambia njoo keshokutwa Anakuwa anamaanisha kweli.
Ila Kuna mafundi cherehani Ni vichomi[emoji1787]
chanzo chake hakijathibitishwa............Huyu nae amejinyonga?
[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nguna ni nini nawe mjukuu wa Goliath? Nimwite kijana Daudi na kombeo lake? [emoji16][emoji16]
Andaeitini shikamoo [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]