Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Wakipitaga kwenye mashamba yangu ya nyanya hapa Koromije ni kilio... japo viboko ni waharibifu zaididuh wanakutia hasara😀😀
Wakipitaga kwenye mashamba yangu ya nyanya hapa Koromije ni kilio... japo viboko ni waharibifu zaididuh wanakutia hasara😀😀
[emoji16][emoji16][emoji16]......Acha waisome nambaView attachment 1280160
😀 😀 😀Kamanda. Naona leo umewaamulia maCCM [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahaha mimi mpole sana ila yule fundi alinikera sana hadi leo anasema nimeamini mtu mpole akikasirika ni hatari [emoji23][emoji23][emoji23] yaani wiki 3 mtu anakuzungushaga tu
hawana tiba?Wakipitaga kwenye mashamba yangu ya nyanya hapa Koromije ni kilio... japo viboko ni waharibifu zaidi
Tudai fidia wakati sisi ndo tumevamia makazi yao?hawana tiba?
labda mudai fidia kutoka kwa mamlaka husika zinazo simamia wanyama pori
ok, nimekuelewaTudai fidia wakati sisi ndo tumevamia makazi yao?