myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
😂 😂 😂 😂 Huwa inatokea.. ukienda huko unacomment na kutoka. ukikaa lazima umwage likes kibaoMimi nimeenda huko nimelike comments za watu.
Baadaye narudi kusoma Hadi nikajuta[emoji3].
Dah halafu nilikuwa nimepitisha likes kwenye comments zaidi ya mia