Goddess
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 7,397
- 25,845
🗑🗑🗑🗑🗑#KuchapiwaHakuepukiki [emoji818][emoji818][emoji818][emoji818][emoji817][emoji817][emoji817]
Inatutokea wengi hiyo😀😀😀😀Huu uzi umenizoesha vibaya, najikuta nikiingia kwenye uzi wowote naanza kulike comments zote hata za kipuuzi, baadae nashtuka naanza ku-unlike
Kunaepukika bro.Kuchapiwa hakuepukiki
haya maneno ni mepesi kuyatamka ila yanauchungu ndani yake..
![]()
Kuliwa wadada maofisini kamwe hakutoisha
Kiukwel ni ngum sana kwa wadada /wake za watu/interns kuendelea kuto kuliwa jameni hum maofisin. Sijaoa ila nikioa mke wangu namfungulia biashara hapo hapo nyumban ama hafany kaz kabisaaaa. Tabia hii niliacha sabab ya kuamua tuu kuacha,ila kwa jins wadada hawa wanavyojirahisisha sio kwangu tuu...www.jamiiforums.com
Hapa kama mkeo kasafiri kikazi, unakosa amani kabisa.Kuchapiwa hakuepukiki
haya maneno ni mepesi kuyatamka ila yanauchungu ndani yake..
![]()
Kuliwa wadada maofisini kamwe hakutoisha
Kiukwel ni ngum sana kwa wadada /wake za watu/interns kuendelea kuto kuliwa jameni hum maofisin. Sijaoa ila nikioa mke wangu namfungulia biashara hapo hapo nyumban ama hafany kaz kabisaaaa. Tabia hii niliacha sabab ya kuamua tuu kuacha,ila kwa jins wadada hawa wanavyojirahisisha sio kwangu tuu...www.jamiiforums.com
Hapa kama mkeo kasafiri kikazi, unakosa amani kabisa.
Jidanganye [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]Kunaepukika bro.
Ni kumwachia Mungu tu. By the way haiishagi utamu [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]Hapa kama mkeo kasafiri kikazi, unakosa amani kabisa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nakutania...
Unapokuwepo uzi wetu unachangamka sana. Naomba Liverpool waendelee tu kushinda na ikibidi wachukue kombe mwaka huu. Hiyo siku sijui tutakubebea mbeleko gani aisee [emoji16][emoji16][emoji16][emoji870][emoji870][emoji870]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kama Mimi tuHuu uzi umenizoesha vibaya, najikuta nikiingia kwenye uzi wowote naanza kulike comments zote hata za kipuuzi, baadae nashtuka naanza ku-unlike
Mashinji hata sijui ukatibu mkuu aliupataje wallahi. Hashabihiani kabisa na hao makamanda wengine...