Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

447816519_499340.jpeg
 
Comment namba 1069690.
Nitaitunza maktaba, mwezi April 2020, tukiwa hai tutaileta hapa kama ukumbusho [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji870]
insha'Allah Mungu atatupa uhai[emoji120][emoji120]
Huyu ningendako atanitambua mwakani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Hizi zote trela tu.. namsubiri April nimjie na muvi lenyewe la kikorea
 
[emoji12][emoji12][emoji12][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
*Mfungwa mmoja alifanikiwa kutoroka jela baada ya kukaa jela miaka 12 akapenyapenya mitaani hadi akafika nyumbani akagonga mlango mkewe akafungua mlango [emoji2980]kitu cha kwanza kumuuliza.. "kwenye TV wametangaza umetoroka tangu asubuhi sasa hivi ni jioni utanieleaza huo muda wote ulikuwa wapi*[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

*_Jamaa aliamua kurudi jela_*
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
*hao ndio wanawake tuishi nao kwa akili*

*Niwatakie siku njema*
 
Kumbe ndo mchezo wako unaonichezea[emoji23][emoji23][emoji23]
Nakutania...

Unapokuwepo uzi wetu unachangamka sana. Naomba Liverpool waendelee tu kushinda na ikibidi wachukue kombe mwaka huu. Hiyo siku sijui tutakubebea mbeleko gani aisee [emoji16][emoji16][emoji16][emoji870][emoji870][emoji870]
 
[emoji12][emoji12][emoji12][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
*Mfungwa mmoja alifanikiwa kutoroka jela baada ya kukaa jela miaka 12 akapenyapenya mitaani hadi akafika nyumbani akagonga mlango mkewe akafungua mlango [emoji2980]kitu cha kwanza kumuuliza.. "kwenye TV wametangaza umetoroka tangu asubuhi sasa hivi ni jioni utanieleaza huo muda wote ulikuwa wapi*[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

*_Jamaa aliamua kurudi jela_*
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
*hao ndio wanawake tuishi nao kwa akili*

*Niwatakie siku njema*
babu fanya ulale tena, mambo ya kukesha usiku tuachie wajukuu zako
huyo mwanamke anafaa kuwa bibi yetu
ukirudi kazini saa 11 utakutana na maswali kama hayo, ofisi zinafungwa saa 9 sasa iweje urudi nyumbani saa 11
 
[emoji12][emoji12][emoji12][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
*Mfungwa mmoja alifanikiwa kutoroka jela baada ya kukaa jela miaka 12 akapenyapenya mitaani hadi akafika nyumbani akagonga mlango mkewe akafungua mlango [emoji2980]kitu cha kwanza kumuuliza.. "kwenye TV wametangaza umetoroka tangu asubuhi sasa hivi ni jioni utanieleaza huo muda wote ulikuwa wapi*[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

*_Jamaa aliamua kurudi jela_*
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
*hao ndio wanawake tuishi nao kwa akili*

*Niwatakie siku njema*
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Back
Top Bottom