moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Jamie Vardy hataki mchezo msimu huu
View attachment 1278698
Dah Dogo kaharibika vibaya nakumbuka movie yake ya komfuu alikuwa fresh ama kweli madawa sio mazuri jumlisha unanii wake.
19:00
Hahahaha nashindwa kujua kwanini sinenepi, sina magonjwa makubwa kama pressure au diabetes na ninakunywa sana chai yenye sukari
Na ni mpenzi wa chocolates sana
Kitambi hakuna hata cha urithi [emoji23][emoji23]