Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Endelea kukodoa macho.
Dec ndo hii..ukikodoa macho kusubiria tufungwe,utakodoa Hadi yatavimba[emoji3].
Hii Ni livapuu wacheza mpira na si ngoma asilia kama Manchester [emoji23]
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] msimu huu tutateseka sana aisee,ndio maana Bro huwa anazima data kwa tambo hizi[emoji2][emoji2]
 
Azime tu.
Nitamtafuta popote..[emoji23][emoji23]
Tena mshukuru sijui chochote kuhusu Mpira..ningeujua mpira Kama brother MOUD walah ningeua watu kwa kizomeo humu ndani
 
Timu yenyewe toka ligi kuu ya Uingeleza ianzwe kuitwa EPL kombe wanalisikia tu redioni ,ila tambo sasa kama zote hivi[emoji2][emoji2][emoji2]

Imagine timu ina umri wa mtu kabsa tena na familia yake haijawahi kubeba kombe[emoji2][emoji2][emoji2]

#Kelelezatembotuhizo[emoji2][emoji2][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Usinitishe[emoji3]
Ndo tunaenda kubeba hivyo.
We don't live in the the past.

Kwanza huo wote Ni wivu wa Moto wenu.

Mtaendelea kusema hivyo hivyo kila siku na mtaendelea kutandikwa magoli na kuishia kumfukuza Ole.
Manchester mmevurugwa vibaya [emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom