Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

tasnia ya habari kumbe inalipa huko kwenu kwa walaji sembe, ni mwendo wa kubadilisha vituo vya kazi kama nguo za ndani.... lakini mwanasiasa akibadilisha kituo cha kazi inakuwa ni nongwaaaa

Leo nimeambiwa mimi sio Baba tena, mimi ni Babu, naomba nitoe shukrani kwa Mungu, bila yeye tusingekuwa hapa, Mke wangu, na Familia nzima, Clouds hakuna mtu anayeondoka hapa ni nyumbani na ndio maana wote leo wapo hapa, Zamaradi @zamaradimketema anaanza wiki ijayo kipindi, hapa Mtu akiwepo haondoki"- Mkurugenzi Mtendaji wa Clouds Media @josephkusaga kwenye Leo Tena ya Clouds Fm.
 
IMG-20191202-WA0001.jpeg
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Sema siku hizi nimepoa. Ingekuwa enzi zile na bro wangu wa ukweli Cole akiwepo kushangilia ningesema kitu cha kufurahisha sana...
Kijana mpole sijui nani anamfungia siku hizi.
Anaonekana mara chache sana.

Sema tufurah bhana shem[emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom