Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Adjustments.JPG
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bahati nzuri fundi wangu Hana longolongo.
Nikimpelekea nguo Leo namlipa kabisa..akikwambia njoo keshokutwa Anakuwa anamaanisha kweli.

Ila Kuna mafundi cherehani Ni vichomi[emoji1787]
Mimi kuna huyo mmoja alinizungushaga sana hadi nikamnyang'anya simub[emoji3][emoji3]
 
Back
Top Bottom