Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
#KuchapiwaHakuepukiki.....[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]![]()
Mchepuko oyeee!
Habari wanajamvi, Wacha niende moja kwa moja kwenye hoja. Mimi ni mke wa mtu nina miaka kadhaa kwenye ndoa zaidi ya kumi, namuheshimu mume wangu na nampenda sana pamoja na watoto wetu, naye analitambua. Huu ni mwaka wa sita sasa niko na mchepuko wangu na mchepuko wangu naye ni mume wa mtu, na...www.jamiiforums.com
[emoji124][emoji124][emoji124]