Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Namchokoza mzee wa urojo mpenda muvi za KikoreaHauwezi kuwa siriaz
Namchokoza mzee wa urojo mpenda muvi za KikoreaHauwezi kuwa siriaz
kwa sababu hawana viunoWakorea hawana mvuto [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Hawa ni mamodo kutoka Sudan ya Kusini. Ndiyo wanatamba kwa sasa na wanatingisha dunia. Kuna mvuvumko mkubwa wa watu kukubali uasili wao bila kubanwa na vigezo vya ulimbwende vilivyowekwa na wazungu. Watu wajitambue. Wajithamini. Kwamba kuwa mlimbwende siyo lazima uwe mweupe. Waache kujichubua....
Wewe tembeza tu dislike ukipenda ila habari ndiyo hiyo [emoji36][emoji36]
Zali la mentali eeeh!?Unaweza kuta zali limekudondokea
Yes! That's her !Adut Akech
Big up Mkuu
Alikuwa kibonge...View attachment 1280781
Maalim Seif Sharif Hamad akiwa na mkewe, Bibi Aweina Sinan Masoud siku ya mkutano wa mwanzo wa hadhara wa uzinduzi wa CUF kisiwani Unguja baada ya kupata usajili wa muda. Mkutano huo ulifanyika tarehe 23 Agosti, 1992 katika Viwanja vya Malindi, mjini Zanzibar.
si ndio raha kiupande wenu au waonaje?Alikuwa kibonge...
Nasikia hata huko ACT kumeanza figisu figisu msaliti Zitto kabana kila kona rais wa mioyo hana pa kupumulia...2020 loading !
sheria nzuri sana hiyooo natamani ifike tanzania ya viwandaaaRussian democracy....
View attachment 1280786
Zali la mentali eeeh!?
Ni kucheka tu na hawa maandaeitini bro. Na uhenga huu mi sawa tu na jibwa likibogoyo. Mifupa hii minono yenye nyama tamu nitaiweza wapi? Tushawaachia nyie bro...ni wakati wenu sasa kwenda huku na huko na kuijaza dunia. Hata kwenye chombo lako huko hakikisha unaacha kakiumbe huko [emoji16][emoji16][emoji16]
Mkuu ninashida kidogo
Hao watoto wanapenda asali, hawapendi ukali na sehemu pekee kwenye asali ni kwenu bro sisi ukali mwingi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yes! That's her !
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Namchokoza mzee wa urojo mpenda muvi za Kikorea
Khantwe nakupigia debe kwa bro ukifanikiwa usituangushe
Yaani ninaweza kuwa na safari keshokutwa asubuhi ,nikampelekea nguo Leo akanishonea na kuniletea kesho usiku.[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
Aisee naomba na mimi kazi naahidi sitakuangusha[emoji85]Yaani ninaweza kuwa na safari keshokutwa asubuhi ,nikampelekea nguo Leo akanishonea na kuniletea kesho usiku.
Nampenda sana fundi wangu.