myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Kwishashindwa au........
Kwishashindwa au........
Sasa ni muda wa kufatilia mashamba yake yaliyobaki ayaendeleze............Hawezi. Wengi wao hawapumzikagi....
Anne atakipata anachokitafuta.😁😁😁Wapenzi wa mpira mnafurahisha sana
Hata aliyonyang'anywa bila shaka atarudishiwa sasa. Siasa bana...Sasa ni muda wa kufatilia mashamba yake yaliyobaki ayaendeleze............
hili gazeti ni la kanda ya ziwa?