Nigendako
JF-Expert Member
- Dec 1, 2017
- 23,296
- 122,446
Usiulize majibu bro. Mwakaleli hii [emoji16][emoji16][emoji16]
Hata mimi nimeipata. Mpendwa yule ni motoooo tena wa kuotea mbali....Cheki na Bradha anayo haha
Umesahau kuweka picha au ndo imetoka hiyo? Halafu we utani/ugomvi na Wasukuma utauweza kweli? Au unafikiri na hii ni Livapuu?Msukuma og kabisa huyu[emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa Hawa chapati wanazijulia wapi[emoji12]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Usiulize majibu bro. Mwakaleli hii [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1282740
Kafariki huyu msakata kabumbu? Au nimechanganya madesa?Rest In Peace Ally Yussuph Tigana
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Umesahau kuweka picha au ndo imetoka hiyo? Halafu we utani/ugomvi na Wasukuma utauweza kweli? Au unafikiri na hii ni Livapuu?
Mpendwa kabarikiwa sana Bro..MashaAllahHata mimi nimeipata. Mpendwa yule ni motoooo tena wa kuotea mbali....
Wakubwa wanafaidiHata mimi nimeipata. Mpendwa yule ni motoooo tena wa kuotea mbali....
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Najua picha utanishinda[emoji23][emoji23][emoji23]
Msukuma una iPhone Ina mipicha ef kumi kidogo,nianze kupambana na hiki kitekno changu nitaweza?
Huyo huyo BroKafariki huyu msakata kabumbu? Au nimechanganya madesa?
Yaani sikuamini bro. Hapa kajifunga ushungi wake kwenye avatar katulia kumbe ni balaa dah...Mpendwa kabarikiwa sana Bro..MashaAllah
Yaani basi tu...ila roho imeniuma sana [emoji16][emoji16][emoji16]Wakubwa wanafaidi