Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hivi kuna Wapare katika uzi huu? [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
1770467_IMG-20180523-WA0004.jpeg
 
Halafu picha zote unazoweka ninazo na huwa nazirusha hapa kuwasaidia TRM wakianza mambo yao. Nina faili zima la picha za Wasukuma na ushamba wao. Itabidi utengeneze/utafute picha mpya aisee [emoji16][emoji16][emoji16]

Hata mimi nina TECNO usisingizie simu....
View attachment 1282744
Haki ya Nani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ipinda lami imewekwa mwaka Jana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Basi utani wa jadi wa wanyakyusa na wasukuma wewe umenishinda [emoji119][emoji119]
 
Haki ya Nani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ipinda lami imewekwa mwaka Jana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Basi utani wa jadi wa wanyakyusa na wasukuma wewe umenishinda [emoji119][emoji119]
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]. Kukushinda wewe wajua siyo kazi rahisi. Nimepata sababu ya kujipigilia wine leo aisee. Lazima nisherehekee [emoji1734][emoji1734][emoji1734][emoji1734]
 
Hahah pindua meza bro
Nani mwenye meza kwa sasa? Pale inaonekana parefu bro. Halafu panaonekana sijui Dubai pale. Sarafu hizi mpaka niuze nyanya hata tiketi tu ya kwenda Dubai mpaka nikope kuongezea. Hapo ni kula kwa macho tu. Labda wewe bro na mabonge yako ya dhahabu na almasi huko Kahama na Mwadui. Jitose [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Amin bro..

Hapana sikuwa namfahamu zaidi ya kumsikiliza kwenye matangazo ya redio wakat huo akichezea Yanga...alitisha kweli kweli
Alicheza miaka gani huyu kwani? Huyu hakucheza enzi za akina Malota Soma, Nteze John na Edward Chumila? Andaeitini wewe ulikuwa hata na akili ya kufuatilia vizuri na kuelewa? [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom