Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Bradha naomba uje hapa unipe matokeo[emoji23][emoji23]
Naona kibao kilikugeuka[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hii Ni livapuu mzee baba[emoji91][emoji91]
Jana nilitaka nikupandishe presha kama vijana wa Man U wanavyopandishwa pressure😀😀😀

Bahati yako haukuwepo.
 
Haya ni maji ya kunywa mkoani Kigoma,
Wenyeji huyaita mtambo wa kuzalisha Typhoid
FB_IMG_1575549092259.jpeg
 
Back
Top Bottom