myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Mungu atupe jioni njema..
Acha kukariri maisha.
Duh!! hatari sana..
Yaani kukariri maisha ya livapuu kutochukua kikombe[emoji3].Nimekariri maisha ya nani?
Aisee inasikitisha ni kwamba udongo ni mwekundu sana.Haya ni maji ya kunywa mkoani Kigoma,
Wenyeji huyaita mtambo wa kuzalisha Typhoid View attachment 1282654
Poleni wakulima wote..
Wasafiri mfike salama..
Poleni mliotoka kazini..
Moto Ni uleule
Basi nijiunge na ili company nipate likes tu ......Endiwo kama hivyo yaani
Dogo utaua hivyo vimapafu vyako ohoo [emoji16][emoji16][emoji16]
Nendeni na nyie mkamfunge everton mabao matano[emoji3]
Ni wivu tu
Andaeitini kwa mbwembwe hamjambo [emoji16][emoji16][emoji16]Mungu wetu sote.
Hadi andaeitini tumeimba hili shairi[emoji23][emoji23]
Unajisikiaje baada ya kugundua andaeitini nimeimba akatamka mgonjwa!?!
[emoji23][emoji23]