Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1].
Sijakata tamaa ili uzoefu unanifanya niwe mwangalifu na hivyo ni lazima niweke akiba ya maneno
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndo tunaenda kuchukua Sasa.
Kwa hiyo Kama tulichukua mwaka 89,hatuwezi kuchukua mwakani?
Acha Basi kukata tamaa brother..
 
Msasani Peninsula ni Masaki, na mzee baba anayehusika na huyo bosslady ni mzee wa liver, nadhani kwa sasa wapo Dubai wanakula bata.
Kwa mara ya mwisho nilikutana nao Katavi national park walienda kuangalia digidigi[emoji23][emoji23]
Mkuu kama hauwezi kusema hapa si tuende tukatete kule mtaa wa saba??[emoji16][emoji16][emoji85][emoji85] Msasani Peninsula wapi sasa Masaki, Oysterbay, au Msasani kwenyewe??
 
20191203_090128.jpeg
 
Back
Top Bottom