Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mkuu kama hauwezi kusema hapa si tuende tukatete kule mtaa wa saba??[emoji16][emoji16][emoji85][emoji85] Msasani Peninsula wapi sasa Masaki, Oysterbay, au Msasani kwenyewe??
Kama unamkubali malkia ISSI mfuate kwao Msasani Peninsula.
Ila kama nilivyokwambia awali, hapa jukwaani yupo mumewe aka mchepuko tunapiga naye stori
 
Kwa hiyo unataka awe na Kiuno chembamba kama chako
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani tunaongelea Kati ya lizarazu na karma Nani mbabe?
Nikasema hakuna haja ya kujadili Maana lizarazu Ni mbabe kotekote mdomoni na mwilini.

Sasa akiwa nacho Kama kimwili changu si anaweza kufa kabla ya muda,,Bora zile nyamanyama zitamuwezesha kukinga ngumi[emoji23]
 
447908854_190151.jpeg
 
Nimegundua unapenda kifua ngoja nikuunganishie 😄😄
 
Halafu kwa taarifa yako, hiyo timu iliyocharazwa bao 5 ndiyo timu inayojua mbinu za kuivurugia Livapuu, maana zipo mji mmoja.
Si hivyo tu livapuu ilitokana na timu hiyo, baada ya ugomvi mkubwa uliopelekea viongozi na wachezaji kujiondoa kwenye uwanja wa Anfield 1892
Jana niliwahi kulala.
Jamani[emoji7][emoji7][emoji7]
Hizi kufuru Sasa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
5????Kama netball ..yaani nashindwa hata namna ya kushangilia
 
Back
Top Bottom