carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] shem wako unamuona mtakatifu eeh
Sio kwamba namuona mtakatifu bhana
Ila sikutegemea kama yeye ndo alizingua
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] shem wako unamuona mtakatifu eeh
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]. Tunakomaga basi wanaume? Alishaolewagwa halafu. Labda unibembelezee nipashe kiporo tu [emoji2221][emoji2221][emoji2221]
#Mke wa mtu sumu[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]. Tunakomaga basi wanaume? Alishaolewagwa halafu. Labda unibembelezee nipashe kiporo tu [emoji2221][emoji2221][emoji2221]
Kuna baridi la kufa mtu hapa. Ukizubaa hata makende huyaoni dah [emoji2221][emoji2221][emoji2221]Mvua kubwa ya radi na upepo inagonga mida hii pande zetu.
Kuna kibaridi furani kitamu
Mvua kubwa ya radi na upepo inagonga mida hii pande zetu.
Kuna kibaridi furani kitamu
Najua shemu...#Mke wa mtu sumu
#sio kila kiporo kinapashwa,vingine vimechacha[emoji125][emoji125][emoji125]
Acha woga wewe
Naelewa Karma. Naogopa Karma isijenirudi.Ah kama alishaolewa basi muache dada wa watu atulie na mume wake,, na hata akikuwelokamu baki kataa tu usije ukamvunjia ndoa yake bure..[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]we endelea kuzunguka mabucha kutafuta hiyo 'nyama' unayoitaka
[emoji1787][emoji1787]vipi kashakufuata pm kukuchimba biti nini??
Hapana.Hata mie naona,, ila sasa si ndiyo uwe unakuja hata mara moja moja jamani..
Naelewa Karma. Naogopa Karma.
#Sitachapiamtukamwe
#KuchapiwaHakuepukiki
Haiwezekani tuyafanyie matangazo mapenzi ya wengine.
Kama umempenda mfuate
Jana niliwahi kulala.Mapicha niliyatupia kwenye post za usiku, rudi nyuma utazikutaView attachment 1282482
Kuna baridi la kufa mtu hapa. Ukizubaa hata makende huyaoni dah [emoji2221][emoji2221][emoji2221]
Hapana.
Umenichosha Sana ule uzi
Kosa kubwa tunafanyaga wanaume. Binti maridadi unaye amekamilika kila idara including tabia na kila kitu. Halafu unashindwa kuiona thamani yake. You take her for granted. Akija kuondoka halafu Karma ikakushughulikia kwa kukuletea kichwa maji ndo unakumbuka sasa...[emoji23][emoji23]
Sio kwamba namuona mtakatifu bhana
Ila sikutegemea kama yeye ndo alizingua
[emoji1787][emoji1787]khaa hata wewe nawe??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ni nini hiyo??
[emoji23][emoji23]kama nimempenda nani sasa??