Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ikibidi wawowane tu kwa sababu hakuna namna. Ila huko ndani sijui nani atakuwa mbabe. Labda atakayekuwa na siksi paki kumzidi mwenzie [emoji16][emoji16][emoji16]
Hivi Kuna haja ya kudiscuss mbambe hapa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Karma mbabe mdomoni tu.
Yule mbabe kotekote...

Kweli kabisa wawowane tu[emoji3]
 
Kuchukua Ubingwa wa epielo haifanani na kuchukua kijiko kabatini.
Liverpool kwa mara ya mwisho ilichukua ubingwa huo mwaka 1989, mara zote ilipita kwenye njia kama hizi na hatukufika kwenye mafanikio.
1989--2019 ni miaka 30, kuongoza ligi baada ya mechi 15 za mwanzo siyo sababu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndo tunaenda kuchukua Sasa.
Kwa hiyo Kama tulichukua mwaka 89,hatuwezi kuchukua mwakani?
Acha Basi kukata tamaa brother..
 
Back
Top Bottom