Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mara Daniel Shilla amesema Mkazi wa Mjini Bunda, Mara Chacha Werema mwenye umri wa miaka 38 ambaye alikuwa mtunza stoo wa vifaa vya ujenzi vya nyumba ya Waziri wa Mambo ya Ndani Kangi Lugola amefariki Dunia wakati akiwa kwenye nyumba ya kulala wageni eneo la Nyasura, Bunda.
_
"Tulipokea taarifa za kifo cha Chacha ambaye alikuwa mtunza stoo ya vifaa vya ujenzi kwenye site ya Waziri Lugola, uchunguzi wa awali unaonesha alikufa kwa Presha, Gesti alikuwa peke yake tu alichukua chumba kupumzika wakati akiendelea na usimamizi wa ujenzi"- RPC MARA
Mh....

Alikuwa peke yake kweli?

Apumzike salama.
 
Back
Top Bottom