moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Habari zenu
.Habari zenu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Timu Roho Mbaya. Ni kikundi cha wakorofi wachache wasiopenda Wasukuma na kazi yao kubwa ni kuhangaika mitandaoni kutafuta picha na memes zinazodhalilisha Wasukuma. Huyo unayemtetea ndiye kiongozi wao na msaidizi wake ni Ninge. Huyu Mpare huyu yeye hata sijui kajiunga lini au pengine ni bendera fuata upepo tu.
View attachment 1281875
Umewahi isikiza mirror ya justin waliofanyia cover hawa??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] asante ndugu mwenyekiti,,pilau kama makande
Duh!!i mara ya kwanza kwa eneo la magharibi mwa kwa watu Kenya kujitambulisha kuwa na uwezo wawakuaminiwa kiimani.
Katika miaka ya nyuma mwanamume mmoja magharibi mwa Kenya aliyejiita Jehova Wanyonyi alidai kuwa yeye ndiye Mungu.
Alikuwa na waumini na alikuwa ameoa wanawake zaidi ya wanawake 10 na watoto zaidi ya 100.
Wake zake pamoja na watu wengine watano waliomzingira wakati wote walijiita malaika.
View attachment 1282147
Naomba na mimi[emoji23][emoji23]Upo fasta,,sema nini,,nmescreenshot[emoji2][emoji2]
Ndoa siyo drama mbele ya watu nyomi,Ndoa ya kweli huanzia moyoni
Ndoa ni kuvumilia maudhui yanayokera,Ndoa ni magizo yasiyo na hela
Asiyejua ni nani kuwa mlioana Msikitini na mkaachana Mahakamani
Ndoa ni yai,Ndoa ni kama kesi ya jinai
#NdoaNiFumbo
Kauli ya kwamba sikuachi mpaka kifo,inasemwa na wengi ila wachache wanamaanisha..
#NdoaNiFumbo
Ndoa ni Jela
Ndoa ni Maigizo yasiyo na hela
Ndoa Ndoano
Sasa kama ndoa ni mbaya hivyo kwa nini jamii inasisitiza watu waoane? Na sio Afrika tu, hata Asia , Ulaya na Marekani watu wanaendelea kuoana?Ndoa ni upendo unaobakia baada ya kuchoka kingono
Halafu Nimemmiss Sana yaani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Usinitajie mimi hiyo mbuzi