Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Timu Roho Mbaya. Ni kikundi cha wakorofi wachache wasiopenda Wasukuma na kazi yao kubwa ni kuhangaika mitandaoni kutafuta picha na memes zinazodhalilisha Wasukuma. Huyo unayemtetea ndiye kiongozi wao na msaidizi wake ni Ninge. Huyu Mpare huyu yeye hata sijui kajiunga lini au pengine ni bendera fuata upepo tu.TRM ni nini