Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Jana hapa niliwaona wanasayansi wanajadili faida za kilele cha mwanamke. Wanadai hakina faida yo yote ile mbali na pleasure tu; na hakuna mammals wengine wa kike wanaofika kileleni. Wanasema pengine ni masalia tu ya mekanisimu fulani ambayo imepoteza faida yake katika mchakato wa evolution lakini katika muktadha mpana kufika kileleni kwa mwanamke hakuna faida yo yote katika uendelevu wa Homo Sapiens kama specie(s).