Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 62,068
- 127,679
Huyu si ndio yule wa The Moon Embracing the Sun?labda tumuulize huyu
View attachment 1281887
Huyu si ndio yule wa The Moon Embracing the Sun?labda tumuulize huyu
View attachment 1281887
Salama mkuuHow's nyie wakuu...
wapemba wanakula samaki siku zoteWasukuma hatuna tatizo la nguvu za kiume. Hilo ni tatizo lenu huko Wapemba wala urojo [emoji2221][emoji2221][emoji2221]
Ule mlo kama huo halafu uishiwe nguvu za kiume? How? Why? [emoji36][emoji36][emoji36][emoji2221][emoji2221][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwani wasukuma wana tatizo la nguvu za kiume?
Hujui unachokiongea wewe tuliza boli. Au unaongelea Wasukuma wa huko Pemba mmewalisha urojo wakawa legelege?kama tungelirudi nyakati zile za joseon basi wanaume wengi wa kisukuma wangelifaa kuwa watumishi wa mfalme (eunuch) kwa sababu ya kukosa nguvu za kiume
Eunuchs refer to someone who has been castrated, and were common in ancient times. In most cases, they were created by removing the gonads. Often, a slit was made in the scrotum, the gonads were pulled through the slit and cut off. The wound was sewn or otherwise held together until it healed.
View attachment 1281885
Kwani sisi Wasukuma samaki hatuli? Unajua Ziwa Nyanza liliko?wapemba wanakula samaki siku zote
watapataje tatizo la nguvu za kiumeeee
au umewakusudia wanaume wa mji mkongwe, baghani, shangani, michenzani, jews corner, forodhani
Alivyomgeuka Musolini mpaka akauawa kinyama basi tu...wanasiasa....Wababe waliotikisa Dunia karne ya 20.
Benito Mussolini wa Italia na rafiki yake Adolf Hitler wa Ujerumani, jijini Roma, wakiratibu vita kuu ya pili ya Dunia.
View attachment 1281888
labda hawakutakiwa kuzaa, kuna sehemu nimesoma joseon waliruhusiwa kufunga ndoa lakini watoto waliwapata kwa njia ya kuadoptJamani huu ulikuwa ni ukatili, lengo hasa lilikuwa nini? Inakuwaje yule wa kwenye Frozen flower au hakuwa eunuch?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuhusu hilo hata mimi hajanishawishi [emoji87][emoji87]Ule mlo kama huo halafu uishiwe nguvu za kiume? How? Why? Hilo ni tatizo lao mianaume ya pwani huko; minaume goi hoi inashindia urojo siku nzima imejikunja kwenye bao kazi kubwabwaja tu na mizigo ya mabusha [emoji36][emoji36][emoji36][emoji2221][emoji2221]
Naomba nyingi nyingi.
Mimi nitachagua moja[emoji3526]