Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Siyo alfu tatu ni elfu saba[emoji23][emoji23]
Huyu ndiyo mkewe alikuwa na pea elfu tatu za viatu?
Huyu hapa Imelda, aliyependa sana starehe za kimarekani
FB_IMG_1575475984344.jpeg
 
Mbona kawaida sana hiyo dadake.
Inajulikana chakula maalum kwa wasukuma na makabila mengi ya bara ni ugali.
Watu wengi bara huko pilau hawaijui.
tatizo lenu mulijifungia ndani sana ndio maana maendeleo na ustaarabu ulichelewa kwa baadhi ya makabila...
mpaka leo munakula sembe kwa konokono

halafu munajisifia ujinga
thembeeee linaongeza nguvu za kiumeeeeee
labda linaongeza nguvu za makalio
 
Kama kilele chao hakina faida watuache[emoji23][emoji23][emoji23] Maana sasa wamekuwa watu wa kuonja onja wakisaka kilele cha Kibo[emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Jana hapa niliwaona wanasayansi wanajadili faida za kilele cha mwanamke. Wanadai hakina faida yo yote ile mbali na pleasure tu; na hakuna mammals wengine wa kike wanaofika kileleni. Wanasema pengine ni masalia tu ya mekanisimu fulani ambayo imepoteza faida yake katika mchakato wa evolution lakini katika muktadha mpana kufika kileleni kwa mwanamke hakuna faida yo yote katika uendelevu wa Homo Sapiens kama specie(s).
 
Back
Top Bottom