Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23][emoji23]
Timu Roho Mbaya. Ni kikundi cha wakorofi wachache wasiopenda Wasukuma na kazi yao kubwa ni kuhangaika mitandaoni kutafuta picha na memes zinazodhalilisha Wasukuma. Huyo unayemtetea ndiye kiongozi wao na msaidizi wake ni Ninge. Huyu Mpare huyu yeye hata sijui kajiunga lini au pengine ni bendera fuata upepo tu.
View attachment 1281875
 
Neno la Mungu linatuonya, tusidhihaki wengine.Kwanini unstudhihaki na timu zetu??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Naona Leo umeamua uje na gia nyingine eeh??
Sasa ukiangalia kiroho zaidi,mpira si kipaumbele katika mambo ya kiroho.

Nimeshabikia timu yangu,nimeiponda Manchester na hii itasaidia kuifanya kuongeza juhudi.
Siwezi kuipaka mafuta kwa mgongo wa chupa.
 
FB_IMG_1575483635370.jpeg
 
Back
Top Bottom