Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kwani ulijaribu nguvu za kiume za wanaokula sembe kiongozi.
Maana tusibishane kwa kitu ambacho hatuna uzoefu nacho.
Tuletee ushuhuda kwa majaribio uliyofanya
tatizo lenu mulijifungia ndani sana ndio maana maendeleo na ustaarabu ulichelewa kwa baadhi ya makabila...
mpaka leo munakula sembe kwa konokono

halafu munajisifia ujinga
thembeeee linaongeza nguvu za kiumeeeeee
labda linaongeza nguvu za makalio
 
Kwani ulijaribu nguvu za kiume za wanaokula sembe kiongozi.
Maana tusibishane kwa kitu ambacho hatuna uzoefu nacho.
Tuletee ushuhuda kwa majaribio uliyofanya
moudgulf brother
hii ishu ya sembe na urojo si ya kuichukulia serious na wala sijawahi kuwa serious kiupande wangu
wewe unaamini ya kwamba mimi sili sembe?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] asante ndugu mwenyekiti,,pilau kama makande
Sasa Msukuma na pilau wapi na wapi jamani? Mi mwenyewe mara ya kwanza nimekutana na pilau la Kizaramo lililoungwa vizuri na makorokocho kibao nilifikiri wanataka kuniroga baada ya kuona majani na tumizizi. Ilibidi wanieleze vilikuwa ni nini ndo nikaendelea kulikamata [emoji16][emoji16][emoji16]
 
464927987_1565.jpeg
 
Hahaha bro bhana,nawafahamu vizuri Wasukumu,kwenye kitu/jambo lolote geni Wasukuma huwa hawajivungi kwa kweli,kwa hilo wamebarikiwa,atauliza kama hajui,hata ukimchek yeye haina noma lakini tayali anakuwa ameshauliza..hii tabia huwa naipenda sana tofaut na British Kingdom,hawajawahi kufeli wale[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom