myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
10:05
🙏🙏🙏🙏Na kwako pia bro!!
Mtani kwema?
Ndoa sio mbaya dada yangu.Sasa kama ndoa ni mbaya hivyo kwa nini jamii inasisitiza watu waoane? Na sio Afrika tu, hata Asia , Ulaya na Marekani watu wanaendelea kuoana?
marahabaDaemusin shikamoo
Assalam Alaykum bwana....☺☺marahaba
nilishawahi kushambuliwa kwa njia ya meneno ya ovyo na bibi fulani kwa sababu si kumsabahi kwa hilo neno shikamoo.
alichohitaji nimsalimie kwanza kwa neno shikamoo ndipo baadae nimsalimie kwa assalam alaykum kama nitapenda.
My friend ☺☺☺Ndoa sio mbaya dada yangu.
Bahati mbaya sana maadili yamepungua sana hadi wanaofaidi ndoa wamekua wachache.
Kuishi na rafiki yako wa dhati kama mwenzi wa ndoa ni jambo nzuri sana.
#MarryYourFriend
na wewe piaAssalam Alaykum bwana....☺☺
Taarifa zimekuwa za kushtukiza mno
Haya mambo ya kwa kina Daemusin hayaGood morning fam
Happy monday[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1282250
👏✌Live your life,
take chances,
be crazy.
Don't wait.
Because right now
is the oldest
you've ever been
and the youngest
you'll be ever again!
.
.
Live your life to the fullest!
watu kama hao Mungu awajaalie mahusiano yao yaendelee kudumu...........Haya mambo ya kwa kina Daemusin haya
Mambo ni vipi?My friend ☺☺☺