Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kuna mtu nmemkumbuka,kama namuona kabsa na tabia zile
Hiyo ndio hali halisi ya tabia zao sio kwamba kabila nyingine ni watulivu ila huko kumezidi niliwahi kwenda huko mwenzi mmoja nilishangaa mno mabinti wadogo wamepanga vyumba Mtwara mjini wanaishi na Wanaume pasipokuwa ndoa. Ukiachana na hii kuna visa viliwahi kutokea home nikisimulia utashangaa na kucheka😁😁😁
 
Hiyo ndio hali halisi ya tabia zao sio kwamba kabila nyingine ni watulivu ila huko kumezidi niliwahi kwenda huko mwenzi mmoja nilishangaa mno mabinti wadogo wamepanga vyumba Mtwara mjini wanaishi na Wanaume pasipokuwa ndoa. Ukiachana na hii kuna visa viliwahi kutokea home nikisimulia utashangaa na kucheka[emoji16][emoji16][emoji16]
Aise,tabia zao zinatia kinyaa,sio kwamba wengine wapo vizuri,ila hawa inaonekana wamepitiliza
 
Hiyo ndio hali halisi ya tabia zao sio kwamba kabila nyingine ni watulivu ila huko kumezidi niliwahi kwenda huko mwenzi mmoja nilishangaa mno mabinti wadogo wamepanga vyumba Mtwara mjini wanaishi na Wanaume pasipokuwa ndoa. Ukiachana na hii kuna visa viliwahi kutokea home nikisimulia utashangaa na kucheka😁😁😁
Hebu funguka mpendwa
 
Kuna mkaka alipanga home na mkewe ila mkewe hakuwa anatokea kusini alikuwa mpogoro ghafla yule kaka akatuaga pale anaenda kwao kafiwa na kaka yake,kumbe kaenda kuoa akarudi nae alipofika kamdanganya huyu mkewe kwamba yule mwanamke ni ndugu yake wakawa wanaishi wanauchafu walikuwa wanalala chumba na sebule yule bibie mpya baada ya kufika mjini akawa anachepuka siri ikatoka hapo kwamba ni mkewe sio ndugu.
Hatari sana haya mambo
 
😀😀😀😀

 
Hatimaye...tumeanza kusogea
1575496382264.jpeg
 
Back
Top Bottom