Bradha
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 8,784
- 45,268
Naaamini umenielewa hapo kwa flat tyre😀😀😀😀[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Niko makini bro
#akiliZaMwalimuWakoKingHizo
Naaamini umenielewa hapo kwa flat tyre😀😀😀😀[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Niko makini bro
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Amen.
ningendako hizi comments za Hawachi zinamaanisha mkanda wangu sitobadili size[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Hahahah nmekuelewa vyema sana [emoji2][emoji2]Naaamini umenielewa hapo kwa flat tyre[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
#akiliZaMwalimuWakoKingHizo
Unaolewa/kuoa mwisho mwenza anakuletea virusi.Unaweza ng'atwa na nyoka pia.
Ni siri kubwa
simba munachezea shilingi chooni....Karibu tena nyumbani.
Hamna, mimi nimeelewa nitasimamishiwa bus😀😀😀[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Mzee mwenzake kwa hizo comment,utaongeza sana size ,hadi ubaki moja aisee hahahah
Ukiondoa herufi ya mwanzo unapata "doa" kazi kuhakikisha mlio funga ndoa kusiwe na doa.Ndoa ndoano
Ukitoa na hiyo d, unapata oa.Ukiondoa herufi ya mwanzo unapata "doa" kazi kuhakikisha mlio funga ndoa kusiwe na doa.
😄😄😄😄Nimecheka kwa sautiUkitoa na hiyo d, unapata oa.
Inabidi kuongeza mke😀😀😀
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila wewe si mzee wa kupindua mezaHamna, mimi nimeelewa nitasimamishiwa bus[emoji3][emoji3][emoji3]
#MorinhoStyle