myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
23:41 siku inaaga
Hahaha Bro,huwa una maneno ya ukweli na kuchoma sana,kama lile la Kuchapiwa Hakuepukiki..Usiogope bro. Kichungu huonjwa !
Hamna hauna sababu ya kutafuta Gunia saba, bro ni kuelewa tu human saikolojia labda kakuchoka sema ndiyo Ndoa maigizo sema pia imani muhimu sana kwa kiasi chake
Hii tabia sana wanayo watu wa kusini si Mwanaume au mwanamke akikuelekeza udugu si wa kuwaamini.Dah,,jamaa kamaliza kwenye aya ya mwisho na maneno makali sana,,gunia 7...inasikitisha aisee
Mkatalunya hivi zile kadi bado tuendelee kusubiria au 😀😀😀Maigizo yanatokeaga pale ambapo Wife/husband anakupanga na Uongo wa hatari au pale unapotakiwa kuigiza kama umefurahi kwa kula chakula chenye chumvi nyingi
Ndoa kweli Ndoano
Hahaha Bro,huwa una maneno ya ukweli na kuchoma sana,kama lile la Kuchapiwa Hakuepukiki..
Bradha wewe tayari una mke hebu tupe kauzoefu maana vijana wanaogopa kuoa.Mkatalunya hivi zile kadi bado tuendelee kusubiria au 😀😀😀
Hunitakii mema bro[emoji2][emoji2][emoji2]Kwamba ushasogeza matundu mangapi [emoji3][emoji3][emoji3]
Huoni watu wanavyoleta shuhuda zao huko maofisini wanavyokula wake za watu kimasihara bro? Ila na waaminifu wapo ukibahatisha...ila na wewe inabidi uwe mwaminifu vinginevyo Karma haitakuacha salama. Kama unachepuka huna haki ya kulalamika ukichapiwa!Hahaha Bro,huwa una maneno ya ukweli na kuchoma sana,kama lile la Kuchapiwa Hakuepukiki..
Aisee,kwa hiyo ni tabia za watu tu,wala sio kuwa kuna makabira wanamichezo hiyoHii tabia sana wanayo watu wa kusini si Mwanaume au mwanamke akikuelekeza udugu si wa kuwaamini.
Hahahah bro,tuendelee na mechi kwanza,haya ya kuchapiwa magumu sana mzee...[emoji2][emoji2]Kuchapiwa hakuepukiki hahaha Tatizo linakuja wewe hauchapi
Nina mfano ya watu wawili kabila za huko kusini ilitokea kama hiyo mada husikaAisee,kwa hiyo ni tabia za watu tu,wala sio kuwa kuna makabira wanamichezo hiyo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aiseeeMkatalunya hivi zile kadi bado tuendelee kusubiria au [emoji3][emoji3][emoji3]
Unataka kusema kuwa Kusini hapafai mpendwaNina mfano ya watu wawili kabila za huko kusini ilitokea kama hiyo mada husika
Hahahah bro,tuendelee na mechi kwanza,haya ya kuchapiwa magumu sana mzee...[emoji2][emoji2]
Unacheki game?
Dah,ni kweli bro,,Karma haijawahi kumuacha mtu salamaHuoni watu wanavyoleta shuhuda zao huko maofisini wanavyokula wake za watu kimasihara bro? Ila na waaminifu wapo ukibahatisha...ila na wewe inabidi uwe mwaminifu vinginevyo Karma haitakuacha salama. Kama unachepuka huna haki ya kulalamika ukichapiwa!
[emoji2][emoji2][emoji109][emoji109]Yeah Nipo nawacheki vijana hapa