Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Bradha wewe tayari una mke hebu tupe kauzoefu maana vijana wanaogopa kuoa.
Ndoa inahitaji kuchukuliana na kuishi kwa busara/hekima KULINGANA NA MWENZI WAKO.i.e.Kuepuka kutumia akili za kuambiwa/kusikia bila ya kuzichakata na mazoea/tabia za mwenzi wako.

Maigizo huwa ni matokeo ya kufeli kuishi kwa hekima/busara dhidi ya mwenzi wako.
 
Ubarikiwe mpendwa Allah azidi kukubariki kwenye ndoa yako iwe yenye nuru siku zote.
 
Karibu tena nyumbani.
FB_IMG_1575491977917.jpeg
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

Wacha bana!!

Angalia usije ukajikuta na flat tyre[emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Niko makini bro
 
Back
Top Bottom