Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hivi unajua kushabikia mpira ni dhambi? [emoji41][emoji41][emoji41]
Ni dhambi Kama mtu anashabikia mpira na kushindwa kutimiza Mambo ya muhimu ya kiroho.
Kwangu Mimi mpira Ni ziada,na Wala sijawahi kukaa kuangalia na nikiangalia Basi Mambo mengine ya muhimu nilishayafanya.

Vitu vyote Ni halali ila si vyote vifaavyo[emoji3526]
 
Back
Top Bottom