Hawachi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 12,010
- 54,204
Unatupa majaribu hata sisi wanawake wenzio toka jana najiuliza nimekosea wapi mimi sijui nijichubue πππInatosha dada ππππππ
Unatupa majaribu hata sisi wanawake wenzio toka jana najiuliza nimekosea wapi mimi sijui nijichubue πππInatosha dada ππππππ
Aliniandikia hapa anataka kubadilisha avatar aweke jingineAliandikaje pls nioneshe na mimi nikasome
Ukisema habari za uwoya nakumbuka lile koti lake alilovaa kwenye hiyo event yake[emoji23][emoji23][emoji23]sijui nani alimwambia alipendeza jamani.[emoji3][emoji3]
Mambo yao tuwaachie wenyewe....yasijekuwa kama yale ya Uwoya na ile event yake ya Gran Melia baadae akaanza kupost picha kitumbo kinaonekaana baadae kikapotea
Aisee basi dada mambo yasiwe mengi, afu ile ni flash ujue ππUnatupa majaribu hata sisi wanawake wenzio toka jana najiuliza nimekosea wapi mimi sijui nijichubue πππ
Wachaaa!!Yaani hana hata doa kitu cheupee[emoji1][emoji1][emoji1]
Unatupa majaribu hata sisi wanawake wenzio toka jana najiuliza nimekosea wapi mimi sijui nijichubue [emoji1][emoji1][emoji1]
Kumbe nawe umeona ππππNapigilia Msumari
Unafikiri natania mtani??Upo srz nikupe?
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] mzigo upo kwa Juma Lokole
ππππππππππππππ madai yake alitoka kitofautiUkisema habari za uwoya nakumbuka lile koti lake alilovaa kwenye hiyo event yake[emoji23][emoji23][emoji23]sijui nani alimwambia alipendeza jamani.
Koti kama fuko la mashine
Utakuja kuona na visivyoonwaUnafikiri natania mtani??
#namiminatakakuona[emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] madai yake alitoka kitofauti
Utakuja kuona na visivyoonwa
Kumbe nawe umeona [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Designer (s)[emoji23][emoji23][emoji23]
Sijui huwa wanadanganywa na kina nani jamani
Hivi na wewe upo ππππMimi tena,, niliona mtoto mashaallah rangi kama anaoga mafuta yaani..
Mpendwa mimi naweka sana labla hujabahatika ila zangu hazina maajabu sana [emoji1][emoji1][emoji1]