Hawachi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 12,010
- 54,204
Dunia hadaa ulimwengu ni Shujaa
Enzi niko shule ya msingi kuna kitabu cha shairi la usia kwa watotoUlisikia wapi hii mpendwa?
Ni timu gani hiyo tumeifunga 5?Halafu kwa taarifa yako, hiyo timu iliyocharazwa bao 5 ndiyo timu inayojua mbinu za kuivurugia Livapuu, maana zipo mji mmoja.
Si hivyo tu livapuu ilitokana na timu hiyo, baada ya ugomvi mkubwa uliopelekea viongozi na wachezaji kujiondoa kwenye uwanja wa Anfield 1892
Aaa wapi! Kitabu cha zamani sana hicho sidhani kama ulikisoma. Umesimuliwa labda [emoji16][emoji16][emoji16]Enzi niko shule ya msingi kuna kitabu cha shairi la usia kwa watoto
Uniunganishe wapi?Nimegundua unapenda kifua ngoja nikuunganishie [emoji1][emoji1]
Nimesoma hicho mpendwa mimi kiumri nimepita kwenye usichana usione najichetua jukwaani 😄😄😄Aaa wapi! Kitabu cha zamani sana hicho sidhani kama ulikisoma. Umesimuliwa labda [emoji16][emoji16][emoji16]
Kumbe wa Karma mbona nyumba itakuwa mahakama hiyo 😄😄Uniunganishe wapi?
Kwa lizarazu???
Lizarazu tulishambarikia karma[emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nyanda za juu kaskazini [emoji28]
Mumewe si wewe mpendwa unazunguka nini [emoji1][emoji1][emoji1]
Shimba akawa anauliza kwamba sijui Nani atakuwa mbabe.Kumbe wa Karma mbona nyumba itakuwa mahakama hiyo [emoji1][emoji1]