Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,566
- 88,575
Daah
Chips samaki [emoji39]
Chips samaki [emoji39]
Original avatar imerudi....Jizazi ....Kaka kwema??
Chakula
Wanafunzi 701,038 sawa na asilimia 92.27 waliomaliza darasa la saba mwaka 2019 wamechaguliwa kujiunga kidato cha kwanza, Waziri wa Tamisemi Selemani Jafo amesema
We na Ngosha Lizarazu ndo mnaendana kabisa yaani...good for good. Nilikuwa nafurahia mabishano yenu.Hapana mimi ni the good Karma only,,[emoji85][emoji85] always waiting to pay good for good..
Hata kama hakuwa mbaya inabidi ujishawishi kwamba alikuwa mbaya ili ujipe amani ya nafsi [emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125]
Ndio hapo sasa [emoji23][emoji23][emoji23]
Suu naweka yako ya jana [emoji1][emoji1]
*Kila nikitaka kuacha bia nawafikiria wakulima wa uwele kule Lujewa, malengo yao na familia zao.. Naenda mbele nawafikiria wafanyakazi wa viwanda vya bia pamoja na malengo yao mahouse girl na wafanyakazi wa majumbani mwao, wazazi wao, madereva wa makampuni wasambazaji na wahudumu wa bar wote wana mipango na malengo yao hivyo kitendo cha kuacha bia ni ukatili wa hali ya juu na kutowafikiria wengine. Sitaki kuwa sehemu ya matatizo yao kwa kuacha bia. MUHUDUMU LETE BIA MBILI*[emoji482][emoji481]
Wengine wema sana mpaka unajuta kumpoteza hasa ukigundua kuwa wewe ndo ulikuwa tatizo. Halafu wakati huo yeye keshamove on na wewe umeangukia ndipo sipo.Hivi ma ex wote huwa wanakuwaga wabaya?[emoji848][emoji848]
Aisee hivi kumbe huyo ISIS ni KE??
We na Ngosha Lizarazu ndo mnaendana kabisa yaani...good for good. Nilikuwa nafurahia mabishano yenu.
Siyo vizuriHata kama hakuwa mbaya inabidi ujishawishi kwamba alikuwa mbaya ili ujipe amani ya nafsi [emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125]
Dogo umeimprove[emoji3]
Sala za Saint anne pekee zinawatosha. Kombe ni lenu mwaka huu...Endeleeni kutuombea mpaka mechi ya mwisho, tubakie kwenye nafasi hiyo hiyo[emoji120][emoji120]View attachment 1282457
Kumbe eeh?Hata kama hakuwa mbaya inabidi ujishawishi kwamba alikuwa mbaya ili ujipe amani ya nafsi [emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125]
Naomba mapicha picha.Saint anne, Hongera kwa ushindi wa kishindo wa jana
@Saint anne, Hongera kwa ushindi wa kishindo wa jana
Amun Ra. Majina ya miungu ya Misri ya kale. Ndiyo asili ya neno Amen....
Angekuwepo sasa angekuwa keshavunja rekodi ya kufikisha likes milioni moja+. Labda yupo kwenye jukwaa la siasa.