Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

FB_IMG_1575537448438.jpeg
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] halafu wanaume ndiyo mnajutaga vibaya ninyi aise
Wengine wema sana mpaka unajuta kumpoteza hasa ukigundua kuwa wewe ndo ulikuwa tatizo. Halafu wakati huo yeye keshamove on na wewe umeangukia ndipo sipo.

Ninaye mmoja hata leo hii akisema The Don welokamu baki spidi nitakayovuvumka nayo Usain Bolt cha mtoto [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
 
Kwamba shem wewe ndo ulizingua??[emoji23][emoji23]
Wengine wema sana mpaka unajuta kumpoteza hasa ukigundua kuwa wewe ndo ulikuwa tatizo. Halafu wakati huo yeye keshamove on na wewe umeangukia ndipo sipo.

Ninaye mmoja hata leo hii akisema The Don welokamu baki spidi nitakayovuvumka nayo Usain Bolt cha mtoto [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] halafu wanaume ndiyo mnajutaga vibaya ninyi aise
We acha tu. Shida yetu tunapenda sana kutembelea mabucha tofauti tofauti wakati nyama kimsingi ni ile ile hakuna kipya mbali na majuto tu [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
 
Back
Top Bottom