Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Alicheza miaka gani huyu kwani? Huyu hakucheza enzi za akina Malota Soma, Nteze John na Edward Chumila? Andaeitini wewe ulikuwa hata na akili ya kufuatilia vizuri na kuelewa? [emoji16][emoji16][emoji16]
Chumila Chumilaaaa.... Namna gani tena pale?!!!
Huyu jamaa sijui kama utamsahau [emoji3][emoji3]
 
FB_IMG_1560677048911.jpeg
 
Alicheza miaka gani huyu kwani? Huyu hakucheza enzi za akina Malota Soma, Nteze John na Edward Chumila? Andaeitini wewe ulikuwa hata na akili ya kufuatilia vizuri na kuelewa? [emoji16][emoji16][emoji16]
Hahah hapana bro,huyu Tigana hadi kipindi cha kina Salvatory Edward,Said Maurid SMG,amekipiga pia
 
>Uwe na uhusiano na muasisi wa chama hicho Edwin Mtei
>Uwe umezaliwa kaskazini au umeoa/kuolewa huko
Sifa za mgombea uenyekiti wa milele Chadema
• uwe umewahi kuhojiwa na Polisi
•uwe na keai mahakamani
•uwe umewahi kulala polisi au gerezani

Yaani kwa kifupi ni uwe KIBAKA- maana hizi ni sifa za Vibaka wazoefu
 
Back
Top Bottom